Siri ya Urembo wa Zari Yabainika, Kumbe Hufanya hivi !

0
12

Mtu wa karibu wa Zari Hassan Ametupenyezea siri ya Zari kuendelea kuwa mrembo japo ana watoto wanne kuwa ni mazoezi na kula vizuri…Anasema kila asubuhi na jioni lazima aingie Jimu japo bado ananyonyesha na kuzingatia vyakula anavyokula.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY