Watch New Video: “Besha Shigana” King Kaka

0
13

Swali tu ni Moja, “Besha Shigana”ndio video ya wimbo wake mpya wake mkali wa rap maaralufu kama King Kaka aka Rabbit kutiko Kaka Empire. Kuwa wa kwanza kutazama na kupakua kichupa hiki cha hatari na kupendeza mno kutokana na ubunifu mkuu uliohusishwa humo ndani. Producer ni Ritchie Bitz na Director Carena. BESHA SHIGANA.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY