Meru Stand up Dr.Visita wanna Rock Chuka

0
10

img_29863087624384.jpeg

Msururu wa matamasha na matukio mbalimbali ya tafrija yanazidi kushuhudiwa kila kona ya Kenya.

Wasanii wakubwa kwa wadogo wenye ari ya kufanya makuu kwenye tasnia ya muziki nafanya ya kwao kuutendea muziki haki.

Mara hii Dkt.Visita The kingmaker atasambabisha yote katika mji wa Meru.

Mkali huyu ambaye ni mmoja wa ‘Shida Mbili’ pamoja na KenRazy Ghipuka waliachia single ya ‘Toraka’ baada ya ‘Mapepo’ na atakinukisha katika Kimwa Club Chuka Maru tarehe 18 Novemba 2016. Kwenye machine atakuwepo Dj Calvo kwenye tukio la #The After Rave.
Kwenye jukwaa hilo watapanda wasanii wengi wanaochipuka ili wapate shavu kutoka kwa Kingmaker.

Kupitia akaunti yake ya Facebook ameandika hivi;

Twendeni Meru tukatoe Support yetu kwa muziki wetu.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY