Category: 2016 at 04:58PM

Download Audio: Redsan – Not Normal

Swabri Mohammed aka Redsan amekuwa kwenye game tangu kitambo na bado ni maarufu kwa muziki wake wenye mnato wa kijamaica. Aliachia nyimbo kama ‘Badda dan Most’, ‘Touch me there’, ‘Shoulder back’ na sasa ameachia wimbo wake mpya ‘Nuh Normal’ chini ya lebo ya Main switch ikitayarishwa na producer Philiph Makanda.  Ni wimbo mzuri wenye mshiko […]

Kinga Boy © 2018 Frontier Theme