Category: 2016 at 10:10AM

Alikua Dancer Wa Dazlah Na Susumila Na Sasa Ameachia Wimbo Aliomshirikisha Mmoja Wao

Moddy Wa Leo ni member wa ‘Vunja Stage’, kundi la dancers ambao mwanzoni walikua wanafanya kazi na Dazlah alafu baadae wakajiunga na Wachawi International, ambayo ni team ya msanii Susumila. Kitu ambacho wengi hawajui ni kwamba hata kabla kua dancer, Moddy alikua ni msanii. Ana utunzi wa hali ya juu sana na sauti yake habahatishi. […]

Kinga Boy © 2018 Frontier Theme