Category: 2016 at 10:21AM

Wanafunzi Wakumbwa na Ugonjwa wa Kuanguka Ovyo Ovyo

Wanafunzi wa kike 12 wanaosoma Shule ya Msingi Nditi, Wilaya ya Nachingwea, mkoani Lindi, wamekumbwa na ugonjwa wa kuanguka ghafla na wengine kupoteza fahamu, walipokuwa wakicheza katika viwanja vya shule hiyo. Mwalimu Mkuu wa shule hiyo, Amon Livigha, alikiri kutokea tukio hilo katikati ya wiki iliyopita, saa mbili asubuhi. Alisema baada ya tukio hilo, baadhi […]

Kinga Boy © 2018 Frontier Theme