Category: Artist News

Msanii Kutoka Mombasa Atimiza Sharti Alilopewa Na WCB Wasafi Kabla Kufanya Kazi Nao

Kabla Diamond Platinumz kuenda nchini Marekani ku,shoot video ya collabo yake na superstar wa kimataifa, mkali wa rnb, NEYO, Diamond alikua humu mjini Meru ambapo alifanya show moja kubwa sana. Kama vilevile ambavyo management ya Diamond ilivyotumia fursa ya Neyo kuja nchini Kenya kwa ajili ya Coke Studio na kufanya mazungumzo na kuwahi collabo na […]

Size 8’s daughter signs a lucrative deal, She’s smiling all the way to the bank (Photos)

Gospel singer, Size 8, has signed a lucrative deal as the Brand Ambassador of Softcare diapers together with her daughter, LadashaBelle. The talented songstress took to social media where she announced the good news to her fans. “Look at what you had planned for the two of us. #softcarediapersHaiya sasa ukweli nimeona mimi ni mama […]

Alikua Dancer Wa Dazlah Na Susumila Na Sasa Ameachia Wimbo Aliomshirikisha Mmoja Wao

Moddy Wa Leo ni member wa ‘Vunja Stage’, kundi la dancers ambao mwanzoni walikua wanafanya kazi na Dazlah alafu baadae wakajiunga na Wachawi International, ambayo ni team ya msanii Susumila. Kitu ambacho wengi hawajui ni kwamba hata kabla kua dancer, Moddy alikua ni msanii. Ana utunzi wa hali ya juu sana na sauti yake habahatishi. […]

Meru Stand up Dr.Visita wanna Rock Chuka

Msururu wa matamasha na matukio mbalimbali ya tafrija yanazidi kushuhudiwa kila kona ya Kenya. Wasanii wakubwa kwa wadogo wenye ari ya kufanya makuu kwenye tasnia ya muziki nafanya ya kwao kuutendea muziki haki. Mara hii Dkt.Visita The kingmaker atasambabisha yote katika mji wa Meru. Mkali huyu ambaye ni mmoja wa ‘Shida Mbili’ pamoja na KenRazy […]

Why Akothee cancelled her wedding in the last minute

Kenya’s self-proclaimed richest musician – Akothee – is definitely one unique soul, there’s none like her this side of the Sahara. She just cancelled her wedding plans, literally in the very last minutes. November 5, would have seen the ‘Yuko Moyoni’ singer walk down the isle, she had announced to the whole world earlier in […]

Kinga Boy © 2018 Frontier Theme